Bukobawadau

TASWIRA MJINI BUKOBA LEO J'PILI JAN 24,2015

 Taswira mjini Bukoba mapema ya leo Jumapili Jan 24,2015 Wingu kubwa likiwa limetanda kabla ya mvua kunyesha na shughuli za watu zikiendelea  kama kawaida
 Katikati ya mji wa Bukoba
Uganga road ,Kanoni Darajani  kuelekea Hamugembe.
 Haki Street,maarufu kama mtaa wa One Way wenye hekaheka nyingi za kibiashara.
Hamugembe, masikani wa Muhazi La Familia
 AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI , IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 505043 / 0784 505045 Email .bukobawadau@gmail.com ,Insta @bukobawadau ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA WENGINE
Next Post Previous Post
Bukobawadau