Bukobawadau

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji TIC

Rais JPM ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa TIC Bi Julieth Kairuki kwa kosa la kutokuchukua Mshahara wake tokea aajiriwe kwenye Taasisi hiyo Mnamo mwezi April 2013 hadi leo.
BAAADA YA HILI UTENGUZI HAYA NI MAONI KUTOKA KATIKA VYANZO MBALIMBALI
Hii ni kutoka Group moja la Whatsaap"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs. Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma. TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers. This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"
Mwisho wa kunukuu.!

 Tweet ya Mh  Balozi Kagasheki
Maoni ya Mdau Mwesiga


Next Post Previous Post
Bukobawadau