Bukobawadau

TASWIRA MJINI BUKOBA LEO

 Muonekano wa barabara ya tupendani jirani na Bank ya CRDB Tawi la Bukoba
Taswira mbalimbali katikati ya mji ya Bukoba

 Swala zima la mchakato wa kitoweo cha Senene
Mdau Samuel Lugemalila pichani kushoto na Mdogo wake Feruz (katikati ) na Mdau Avevan Tibaigana pichani kulia.
Next Post Previous Post
Bukobawadau