Bukobawadau

WAHUKUMIWA MAISHA KWA UCHOMAJI WA MAKANISA MKOANI KAGERA

Mahakama ya hakimu mkazi Bukoba imewatia hatiani na kuwahukumu kwenda jera kutumia kifungo cha maisha watu watatu ambao ni pamoja na Ngesella Joseph, Rashid Mzee na Ali Dauda waliokuwa na tuhuma ya kuhusika na vitendo vilivyokuwa vimekithiri mkoani Kagera mwaka jana vya uchomaji wa makanisa ya madhehebu ya kikristo katika maeneo mbali ya mkoa huo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau