Bukobawadau

TAARIFA NA RATIBA YA MAZISHI YA OMLANGIRA GOSBART IJUMBA.


Omlangira Rugaibula wa Kanyigo -Missenyi anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Gozbert Ijumba  kilichotokea Juzi OCt 4,2016 katika hospitali ya Muhimbili Jijini Dar,Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo.
Mwili wa Marehemu utawasili mjini kesho Ijumaa  Oct 7 na kupelekwa nyumbani kwake 'Nyamkazi'  kwa ajili ya utoaji wa heshima za mwisho na kufuatiwa na safari kuelekea Kijijini. 

Mazishi yamepangwa kufanyika Jumamosi  tarehe 8 saa 9 alasili Kijijini Kanyigo-Nyangoma.

#BUKOBAWADAU TUNAMUOMBA MUNGU AIPOKEE ROHO YAKE NA AIPUMZISHE KWA AMANI!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau