Bukobawadau

PUMZIKA KWA AMANI MZEE SAMUEL SITTA

TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu.
Bukobawadau tunatoa pole kwa ndugu,Jamaa na marafiki wote. Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi Amina.

Rais Magufuli amtumia Spika wa Bunge salama za rambirambi kufuatia kifo cha Spika Mstaafu Mhe. Samwel Sitta

Next Post Previous Post
Bukobawadau