tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post1808928345776834170..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : MTIKISIKO WA JOSE CHAMELEONE NDANI YA CLUB LINAS BUKOBABUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-48743624558436919532014-09-27T23:46:20.061+03:002014-09-27T23:46:20.061+03:00sawa umesema chameleon abadilike na kupiga muziki ...sawa umesema chameleon abadilike na kupiga muziki wake live au bila cd,hiyo inatokana na mdhamini (promoter)amelipa shs. ngapi? mimi ni producer na ni dj na nimewai kufanya kazi nyingi na chameleon nchini uganda kwahio namjua vizuri nguvu zake zilipo na udhaifu wake,na ndio maana cku ya show alikuwa amekataa kupiga show hadi aliponiona chuma ya jukwaa ndo tukambembeleza kutokana na maandalizi feki yaliyofanyika,kwahio mambo ya kupiga live show inamambo yake mengi ucickie tu dada yangu!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/04742890376631855132noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-19339633828128318822014-09-26T12:45:57.578+03:002014-09-26T12:45:57.578+03:00Chameleon ni mwimbaji mzuri sana, napenda nyimbo z...Chameleon ni mwimbaji mzuri sana, napenda nyimbo zake zilizo kwenye CD na kwenye video, lakini sio mzuri kwa live concert. Nilimwambia hilo mwanzoni mwa Mei tulipokutana Mwanza. Mwanamuziki kama yeye hapaswi kutumia CD kufanya live concert, abadilike na kuanza kupiga muziki live kwa kutumia vyombo vya muziki kama afanyavyo Banana Zoro. Mambo ya CD awaachie wanaojifunza wa Bongo Star SearchPrudence Karugendonoreply@blogger.com