tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post1862899343670148459..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : FURAHIA BUKOBA YETU LEO JAN 28,2014BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-64102425291220027012014-06-14T16:26:28.401+03:002014-06-14T16:26:28.401+03:00Mc baraka hutasahauje mto kanoni? ck nyngne ukumbu...Mc baraka hutasahauje mto kanoni? ck nyngne ukumbuke bwana.akhasante kwa kuitangaza bukoba yetu.By "Mulangila"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-53150129727962927002014-02-01T23:03:34.392+03:002014-02-01T23:03:34.392+03:00Kaka Baraka na timu nzima,asanteni kwa "kutur...Kaka Baraka na timu nzima,asanteni kwa "kuturudisha" nyumbani!!Mwesiga Mwesigwanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-45983159709062625432014-01-29T14:32:53.483+03:002014-01-29T14:32:53.483+03:00Ahsante sana kwa kutuletea muonekano wa Bukoba yet...Ahsante sana kwa kutuletea muonekano wa Bukoba yetu! Sasa nafikiri ni jukumu letu sisi wana Bukoba kuitangaza vizuri nakuweka mikakati zaidi jinsi ya kujikomboa na lindi la Umaskini uliokisiri kwa sasa!! Tatizo kubwa sasa misitu minene inayozunguka mji wetu imeteketea kwa kuchoma mkaa!! Tembelea misitu iliyomo ndani ya bonde la mto ngono inateketea kama nyasi!! Nakushkuru sana mdau!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07435471219937148489noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-85154337573047814022014-01-29T09:35:40.894+03:002014-01-29T09:35:40.894+03:00hakika ni pazuri na tunahtaji bado nguvu zaidi ya ...hakika ni pazuri na tunahtaji bado nguvu zaidi ya kuujenga mji wetu na kuufikisha hatua fulanMwesiga Muhimbulahttps://www.blogger.com/profile/14364698722814285612noreply@blogger.com