tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post244675338613070461..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : TUACHANE NA UPUUZI WA PICHA ZA MITANDAONIBUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-10927647760316674942014-06-17T13:36:25.821+03:002014-06-17T13:36:25.821+03:00Nimekukubali, na ninapenda kukushukuru kwa mifano ...Nimekukubali, na ninapenda kukushukuru kwa mifano iliyo hai, ukweli nchi yetu nzuri yenye sifa tulivu, ukweli technologies zinatupeleka kusiko, tukae tuandike vitu vyenye kuleta uchochevu wa maendeleo nchini kwetu, Wananchi ama Wanaadamu wengi tunajifunza kwa matendo, lakini kama matendo tunayojifunza nikupitia picha ambazo baadae hakuna sifa, jamani tupiganie mambo ya kuiendeleza nchi yetu, simambo binafsi na yasiyo na maendeleo mubadara. H. K. DEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-71612494776616429452014-06-17T12:48:00.375+03:002014-06-17T12:48:00.375+03:00ahaaaaaa! mzee wang nakubariana na wewe,lkn hao ma...ahaaaaaa! mzee wang nakubariana na wewe,lkn hao mabwana usiwatetee hata kidogo tuulize sis tuliopo UDOM tunayo yaona ni meng .kipind cha bunge STK,STJ,STL hazikatiki chuon na si kwamba zinaishia maofisin,hadi kwenye "campas "na zinacholeta au kubeba tunaona kwa macho mawili.na ni bora yajadiliwe.kwa kihaya tunasema "beshubeo" tafsir yake kwa kiswahili "wajirekebishe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-12890237096979056242014-06-17T10:06:29.223+03:002014-06-17T10:06:29.223+03:00So hilo jambo unaona ni la kawaida kwa kiongozi wa...So hilo jambo unaona ni la kawaida kwa kiongozi wa wananchi kufanya huo upuuzi...na hizo picha si za kutengenezwa kama ww unavyofikirAnonymousnoreply@blogger.com