tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post4833729901080642877..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : MANENO YA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA ZITTO NA DR KITILA KUVULIO VYEO; "NDANI YA CHADEMA AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA" BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-51240247107914885742013-11-24T00:37:50.545+03:002013-11-24T00:37:50.545+03:00We nchemba ondoa uchuro hapa mnafiki mkubwa wewe.We nchemba ondoa uchuro hapa mnafiki mkubwa wewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-48907926702320959882013-11-24T00:24:12.345+03:002013-11-24T00:24:12.345+03:00kwan chadema humjui kwama ni taasisi ya mbowe and ...kwan chadema humjui kwama ni taasisi ya mbowe and mtei family Silaa ni chambo tu naye cku zinesabika tuu kama ulikuwa kwenye mkutano wa chadema pale ubungo plaza wa chama utaelewa nini namaanisha chama kizuri sana ila kuna makapi wengi sana na ndio viongozi kama alivyokuwa sumaye wazir mkuu kwanza uongozi then ndio usomee baada ya kustaafu does not make sence.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-22099089241165866282013-11-24T00:19:24.466+03:002013-11-24T00:19:24.466+03:00nyie watangulizi hapo juu suala hapa sio zito wala...nyie watangulizi hapo juu suala hapa sio zito wala nani sisi wanachadema tunataka hizo tuhuma zijibiwe basi tujue mbivu na mbichi sasa katiba kuvulugwa au ruzuku kutumiwa na baba mkwe na mkwe ndio kosa la mtu kufukuzwa au kuuwa kama walivyo tangulia tupe majibu watz tuna akili kila kijana wa nchi mpenda siasa rol model wake ni zito awe chadema au ccm au cuf huo ndio ukweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-28059288683410197552013-11-23T10:00:27.052+03:002013-11-23T10:00:27.052+03:00Chadema juuuuuuuuu+100000000000Chadema juuuuuuuuu+100000000000Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-27277650061645114782013-11-23T07:42:40.808+03:002013-11-23T07:42:40.808+03:00Nchemba acha unafiki leo ndio unajifanya kumkubali...Nchemba acha unafiki leo ndio unajifanya kumkubali Zito wakati siku zote unampinga, tunaelewa kuwa umeumia sana baada ya kuona watu mliokuwa mnawatumia wamewekwa pembeni, siku zote ukae ukitambua kuwa hiyo ndio Chadema Anonymousnoreply@blogger.com