tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post516397798585882618..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : TAARIFA YA MWANAFUNZI WA IHUNGO ALIYEJINYONGA BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-37720993625438605532014-10-14T11:20:45.286+03:002014-10-14T11:20:45.286+03:00Sasa hapo,nadhani wote tunaweza kukubaliana na Hay...Sasa hapo,nadhani wote tunaweza kukubaliana na Hayati,mwalimu Julius.K. Nyerere kuwa,adui mmojawapo wa maendeleo ya Watanzania,ni maradhi;maana,mwanafunzi huyo ambaye alikuwa anasoma sayansi,angeweza kuwa daktari labda,au enginere au katibu wa Hospitali,lakini sasa adui maradhi,amemtesa kiasi cha kuamua kujiua,na KATIBU anasema sijuhi nini na nini na nini na nini,aha!mambo haya hadi yanatia kinyaa:R.I.P mwalimu J.K.Nyerere!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/15748272461543554946noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-60057928812264272712014-09-18T21:45:02.209+03:002014-09-18T21:45:02.209+03:00baraka mbona umeibania comment yangu niliyotuma ju...baraka mbona umeibania comment yangu niliyotuma juu ya hili swala?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-66803454241077247792014-09-18T17:00:57.666+03:002014-09-18T17:00:57.666+03:00Poleni wafiwa,
Naomba viongozi wa taasisi mbalimb...Poleni wafiwa,

Naomba viongozi wa taasisi mbalimbali tuache mara moja taharifa za kukanusha kila matukio mazito kama haya yanapotokea. Ukilitazama hili tukio ni lazima kuna uzembe wa namna moja au nyingine ulijitokeza hadi kufikia hatua ya kijana huyu kukata tamaa. Najua yeyote anaweza kutengeneza chochote kama ushahidi wa vipimo vya huyu kijana ili kujinasua na hili tatizo ila ukweli ni kwamba sote tunafahamu hili tatizo lipo hapa nchini kwetu, kama huna pesa ya kumpa doctor hupati huduma, ndugu zetu wengi wamepitia na sisi wenyewe na bado tunaendelea kuteseka, ni mara ngapi kina mama wajawazito wanateswa hadi wengine kutukanwa na manesi wetu mambo ya ajabu na ghafla kitoto kichanga kinadondoka sakafuni?
Uongozi wa hospital ya mkoa wa Kagera mnayo mengi ya kujibu ni kwanini huyu kijana ameamua kujiua na kuandika ujumbe huu na sio kukimbilia kuwa alikuwa na malaria, au mnataka tuamini kuwa malaria ilimpanda kichwana na akachanganikiwa na kuwa kichaa? Na kama ni kichaa basi cha kwake ni kizuri kwani ameweza kuandika mambo ya ukweli na mazuri ya kukufungueni macho. Wafanyakazi wote waliokuwa zamu siku anakuwa admitted hadi siku ya kufa lazima wawajibike, na uongozi ni lazima uwajike kwa hili. Utaueleza nini uma mgonjwa anafikia hatua ya kujinyonga hadi kufa katika eneo la hospital bila kuonekana na mtu yeyote? Au nyote mlikwenda kunywa Rubisi?

Jamani ndugu zangu badilikeni hizo kazi kama hamna wito nazo acheni nenda mkalime au kavue samaki kuliko kutuymiza.

Kazi kukaa tu kwenye vikao vya harusi na birthday party zisizo kuwa na tija, mara oh bukoba club n.k.

Inywe bahaya ba Bukoba tweshubeho, obufela, ekiburi ne eirangira lyaijakutwita.Burula mmbone abandi nibairuka inywe nimwajula nka butono.
hmmmfuuu ngu barangira biki si!!!!

Asanteni sana,
Ndugu yenu aliyochoshwa na ujinga wenu huu, kila siku kutumiwa tu no okukurata abanasiasa na abainamu esenti ahanyo nke embwa.Anonymousnoreply@blogger.com