tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post8013445093466551744..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : TASWIRA MAPOKEZI /MAZISHI YA MAREHEMU HATIFU GALIATANO YALIYOFANYIKA LEO 6 DEC,2013 KIJIJINI BUGANGUZI MULEBA.BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-30256209046005687682013-12-08T16:14:32.028+03:002013-12-08T16:14:32.028+03:00Poleni nyotePoleni nyoteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-88817212683371933862013-12-07T22:52:40.206+03:002013-12-07T22:52:40.206+03:00Innalillahi Wainna Illeyhi raju'un
Poleni sana...Innalillahi Wainna Illeyhi raju'un
Poleni sana jamani,,Mwenyezi Mungu Akupeni subira sana nyie wote wafiwa..
Ma'ansha'Allah nyumbani mna ushirikiano sana sana,hasa katika misiba,hii inapendeza sana,Mwenyezi Mungu Akuzidishieni muendelee kuwa na ushirikiano wa namna hilyo,,,Masikini mpaka nimeona watu niliona zamani nikiwa labda na miaka 8 au 7 nikawakumbuka,,Mzee Kakobe nimemkumbuka masikini,katoka Nshamba kuja kuzika,Pia nimeona Bro wangu Yahya Kagambo,,,Nimefurahi nimejihisi nipo na mimi ,,katuwakirisha kaka yetu.Pia Bro Abbakari Sued kanikumbusha mbali mno..
Mjane wa maremu Ma'ansha'Allah Sijdah inawaka usoni,,hope swala yako Insha'Allah itakupa subira wewe na wanao.
Nimeumia sana kumuona Mzee Galiatano analia ooh inauma jamani!Poleni BK,Wadau...MC!!!Jamco ni rafiki wa kweli!!!I love it!
Naomba kuuliza,marehemu alikuwa ni mtoto wa Mzee Galiatano au mdogo wake?
Mwenyezi Mungu Amlaze marehemu mahali pema Peponi,,,Ya'arabi muondolee adhabu za kaburi,Umfutie madhambi yake na umlipe kwa mema yote aliyotenda hapa duniani,,na wote waliotangulia mbele ya haqi.
Poleni sana

Hanny LondonAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-75691272463378749932013-12-07T09:13:31.558+03:002013-12-07T09:13:31.558+03:00Pole sana kwa msiba huo. Mungu alitoa na Mungu ame...Pole sana kwa msiba huo. Mungu alitoa na Mungu ametwaa Jina lake lihimidiwe. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/16971175200508723868noreply@blogger.com