tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post803293859289971980..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : JE, KILIMO BADO KINA NAFASI YA KUKUZA UCHUMI WA TZ NA MKOA WETU WA KAGERA?BUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-39846565744031453872016-09-08T14:17:40.246+03:002016-09-08T14:17:40.246+03:00Mada ya leo ni nzuri sana. Mimi naamini kilimo ki...Mada ya leo ni nzuri sana. Mimi naamini kilimo kina nafasi kubwa sana mkoani Kagera. Wana Kagera hebu badilikeni limeni mazao mengine badala ya kung'ang'ania ndizi na Kahawa tu. Udogo wa Kagera miaka nenda rudi umekuwa ukilimwa mazao hayo mawili tu kwa wingi. Sasa hebu kila mmoja atenge nusu heka achimbue mikahawa na migomba alime mbogamboga, nafaka, kama vile kunde, choroko, mazao ya chakula kama vile mahindi, mtama, n.k. Naamini watu watavuna hadi washangae, kuliko hii wanalima ndizi zinaivia shambani. Uwezo wa kusafirisha mikoa mingine hawana. Vijijini unamuuzia nani kila mtu anazo. Kahawa imepata ugonjwa mtu ana hekari 5 anavuna gunia 4 anajisifia kweli. Sasa jamani kinachotafutwa ni pesa na si historia kwamba babu wa babu wa babu aliacha migomba na mikahawa. BADILIKENI WANA KAGERA. MUNGU AWASAIDIEAnonymousnoreply@blogger.com