tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post8334580403536483322..comments2023-08-17T15:49:42.035+03:00Comments on BUKOBA WADAU : MH.MASSAWE MGENI RASMI KATKA KONGAMANO LA MAENDELEO 'BUGANGUZI DAY 2014' LILILOFANYIKA LEO APRILI 19,2014 BUGANGUZI WILAYANI MULEBABUKOBAWADAUhttp://www.blogger.com/profile/11880331576139974848noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-10397110100479549692014-04-22T12:02:15.233+03:002014-04-22T12:02:15.233+03:00Ni hatua nzuri sana hii. Tuendelee kuhamasishana n...Ni hatua nzuri sana hii. Tuendelee kuhamasishana na kuinuana kimaendeleo tujenge Kagera yetu. Bravo wana Buganguzi, Tarafa ya Nshamba, Wilaya ya Muleba kwa ubunifu huu. Tuige wote katika kata zote.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/04446368210437490313noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-72698320232373137842014-04-21T19:41:11.568+03:002014-04-21T19:41:11.568+03:00Mkoa wa Kagera unabahati sana ya kumpata mkuu wa m...Mkoa wa Kagera unabahati sana ya kumpata mkuu wa mkoa kanali Massawe (Mulokozi). Ni mtu anayependa maendeleo, hasiyeona aibu kusema ukweli tena ansema ukweli kwa lugha ya upendo na ndio maana anapendwa sana pamoja na kwamba ukweli unauma. mara zote amehimiza watu wa kagera kufanya kazi kwa bidii na kuwahimiza wenyeji wa Kagera walioko nje ya kagera kuja kuwekeza nyumbani. Ebu wana kagera tuitike wito wa huyu nabii. Tufanye kazi kwa bidii hatuna sababu ya kuwa nyuma kimaendeleo kam ilivyo sasa. Tuna ardhi nzuri, hail ya hewa safi na zaidi ya yote Mungu ametujalia upeo wa kuelewa mambo. Hogera sana RC Massawae, Hongera Bukobawadau kwa kuwa kila pembe ya mkoa kuchukua matukio. <br /><br />Roderick Lutembekanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-83254115528740308672014-04-21T18:19:05.529+03:002014-04-21T18:19:05.529+03:00Kama tutamtumia vizuri huyo Mangi lazima atatuacha...Kama tutamtumia vizuri huyo Mangi lazima atatuacha pazuri. Kumbuka mikoa iliyokuwa inafukuzana kiuchumi na kimaenedleo katika Tanzania yetu hii, tangu ikiwa Tanganyika baada ya uhuru, ni Kilimanjaro na West Lake baadaye Kagera. Kwa sasa kilimanjaro wanatutmulia vumbi kwa mbali! Sio kwamba linawafurahisha wao hilo, hapana, maana wanaona hawana tena challenge ya maendeleo kwahiyo na wao kujihisi wataanza kudorora. Hivyo anayoyafanya Massawe mkoani Kagera ni kutaka kuona Kagera inarudi kwenye ligi ya maendeleo Prudence Karugendonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7318621061165679025.post-82907428777657309022014-04-21T18:19:04.439+03:002014-04-21T18:19:04.439+03:00Kama tutamtumia vizuri huyo Mangi lazima atatuacha...Kama tutamtumia vizuri huyo Mangi lazima atatuacha pazuri. Kumbuka mikoa iliyokuwa inafukuzana kiuchumi na kimaenedleo katika Tanzania yetu hii, tangu ikiwa Tanganyika baada ya uhuru, ni Kilimanjaro na West Lake baadaye Kagera. Kwa sasa kilimanjaro wanatutmulia vumbi kwa mbali! Sio kwamba linawafurahisha wao hilo, hapana, maana wanaona hawana tena challenge ya maendeleo kwahiyo na wao kujihisi wataanza kudorora. Hivyo anayoyafanya Massawe mkoani Kagera ni kutaka kuona Kagera inarudi kwenye ligi ya maendeleo Prudence Karugendonoreply@blogger.com