Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora pia ahudhuria Tamasha la Utamaduni la Bulabo, Kisesa Mkoani Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika K...