Bukobawadau

HALI YA MAANDAMANO YA WAISLAAM JIJINI DAR HII LEO

Walioweza kupenya hadi maeneo ya Ikulu hali ilikua hivi
Nguvu iliyotumika kupambana na waandamanaji maeneo ya kariakoo hii leo
Wakati Zanzibar Sakata la Waislamu kuendeleza kitimtim kufuatia kutoonekana kwa Kiongozi wa Kundi la Uamsho Vurugu zimeendelea kutawala eneo la Darajani na kusababisha Polisi kulazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya watu.
Jijini Dar es Salaam hali si tofauti na hiyo maeneo ya Kariakoo maduka kadhaa yamefungwa kufuatia vurugu kama hizo baada ya Swala ya Ijumaa kufuatia pia kukamatwa kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania Sheikh Ponda yamekuwa ni matokeo ya vurugu watu kukimbizana huku Polisi wakidhibiti Usalama na Amani kuelekea harijojo.(Picha na Maktaba).
Maeneo ya Posta karibu na Wizara ya Mambo ya Ndani Askari wameweka utepe wa kudhibiti watu kuingia katika maeneo hayo kitendo kilichosababisha shughuli nyingi kusimama.
 Waandamanaji wakichezea kichapo kikali
Aina yai nVipeperushi  vilivyotolewa na Waumini wa Dini ya Kiislamu kabla ya maandamano leo.
Maeneo  ya Kariakoo magari ya jeshi JWTZ zaidi ya 8 yakiwa katika doria.
Next Post Previous Post
Bukobawadau