Bukobawadau

NDOA YA MSANII AUNT EZEKIEL YAFANYIKA USIKU HUU NCHINI DUBAI

Pichani ni msanii nyota wa Bongo movie Aunt Ezekiel  akisaini cheti cha ndoa yake iliyofanyika Usiku huu nchini Dubai
 Aunt Ezekiel amekua katika mahusiano ya uchumba  na Bw Sunday Demonte na walikubaliana watafunga ndoa baada ya kubadili Dini na kuwa Muislam.

Tukio hili limefanyika kwa kufuata  misingi ya dini ya Kiislam na hii ndio stori fupi iliyotufikia na picha ,pia tutaendelea kukujuza habari na matukio zaidi kadri tutakavyo yapata.
Next Post Previous Post
Bukobawadau