Bukobawadau

Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake !!

Tukio hilo lilitokea rasmi juzi kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau