Bukobawadau

HARAKATI ZA BALOZI DIODORUS KAMALA NA UNCLE SAMUEL LUGEMALILA LEO OCT 22,2015

 Kutoka Nkenge Missenyi Leo ct 22,Uncle Samuel Lugemalila awaomba wanachi wajiunge na jamii ya CCM inayozidi kukua na kufanya kazi pamoja ,awataka wachague mafiga matatu, wamchaguwe Dk Magufuli , Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala na Madiwani wa CCM ili kuhakikisha kazi ambayo imefanywa hadi sasa, na ambazo zinaendelea kufanya zinahakikisha maendelea na mafanikio ya Tanzania ya leo na vizazi vijavyo.
UMOJA NI USHINDI

Mgombea Udiwani wa kata Bugandika Ndugu  Amudy Ally MigeyoUncle Samuel Lugemalila
 Ndugu Samuel Lugemalila kampeni meneja wa (Magufuli CLUB) Jimbo la Nkenge akimnadi Mgombea Udiwani  kata Bugandika ndugu Amudy Ally Migeyo
 Wananchi wakimsikiliza Ndugu Samuel Lugemalila wakati akiwahutubia
 Ndugu Samuel Lugemalila akiendelea kuwahutubia Wananchi wa Kata Bugandika.
 Bibi ambaye ni kada waCCM akifuatilia kinachojiri katika mkutano huo
Mpambanaji maarufu kama Wamvuto akiendelea kutema kuwahutubia wakazi wa Kata Bugandika
 Wadau wakimshukuru na kumpongeza Uncle Samuel Lugemalila.
 Kama wanavyo onekana pichani wakiteta jambo
 Katibu Mwenezi wa Kijiji Kata Kilimilile akiomba kura kwa Wananchi waliohudhuria Mkutano huo
 Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kenyana Kata Kilimilile iliyoko wilayani Missenyi leo katika mkutano wake wa hadhara
Baadhi ya wananchin wakiwa tayari kumpa ridhaa ya Ubunge Balozi Dk. Diodorus B.Kamala
Wananchi wakimsikiliza Mgombea Ubunge wakati akiendelea kunadi Sera na Ilani ya CCM
 Wananchi wa Kijiji cha Kenyana Kata Kilimilile iliyoko wilayani Missenyi wakimsikiliza Mgombea wao  Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala katika mkutano wake wa hadhara
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Costansia Buhiye akimkaribisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala 
 Baadhi ya wakazi wa mji wa Kijiji cha Ekenyana ,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mapema ya leo
 Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala 
Ndugu Charles Matunda akiwapungia watu mikono wakati wa Utambulisho
Wananchi wakiendelea kufuatilia Mkutano mkutano wa kampeni wa Balozi Kamala leo.
Ndugu Ismail Sadick Katibu Mwenezi wa Kata Mutukula
 Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni wa Ndugu Samuel Lugemalila uliofanyika kwenye Kata Bugandika
 Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala wakati msafara wake ulipozuiwa na wananchi wa Kyaka
 Umati wa Wananchi wakisalimiana na Balozi Dk.Kamala wakati msafara wake ulipozuiwa katika Mji wa Kyaka


 
Next Post Previous Post
Bukobawadau