Bukobawadau

MBUNGE LEMA ANYIMWA DHAMANA LEO

ARUSHA: Mbunge Godbless Lema anyimwa dhamana baada ya Wanasheria wa Serikali kukata rufaa kupinga maamuzi ya Hakimu kumpatia dhamana.
- Wakili wa Serikali ataka asipewe dhamana kwani alisema Rais atakufa, hivyo akitoka ataweza kuufanikisha mpango wake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau