Mhe Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Luanda nchini Angola kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku 3 nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro ...