May 2011

Bukobawadau

Mjuwe Will Smith ambaye kazushiwa kifo!!!!!

Willard Christopher "Will" Smith, Jr. (amezaliwa tar. 25 Septemba, 1968)[1] ni mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na rapa kutoka n...

BUKOBAWADAU 31 May, 2011

Brother Man Zuma kujaribu kutatua mgogoro wa Libya

Rais Jacob Zuma mie mwenyewe upenda kumwita brotherman Zuma. Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amewasili mjini Tripoli kwa kile kinachoone...

BUKOBAWADAU 30 May, 2011

MAN U. WAKALIA KUTI KAVU WADUNDWA GOLI 3 KWA 1 NA MABINGWA BARCELONA....

Man of the MATCH Mess akishangilia ushndi baada ya kuidunga Manchester united,BACA ilitoka kidedea kwa bao 3 kwa 1 Ilikua ni furaha ya ain...

BUKOBAWADAU 28 May, 2011 2

Kagondo hospitali kumbe sawa na Rubya,Mgana na Ndolage..!!!!

Kagera ni miongoni mwa mikoa iliobahatika kupata maendeleo makubwa kiuchumi na kijamii kabla na baada ya uhuru. hii ote ni kutokana na wami...

BUKOBAWADAU 28 May, 2011 2

Mtu mrefu zaidi duniani

Mwonekano wa mtu mrefu zaidi duniani akiwa na mtu mfupi wa maajabu . Mtu mrefu duniani akiwa na mtu mfupi duniani

BUKOBAWADAU 27 May, 2011 6

Kushuka daraja kwa Birmingham City ndio chanzo cha kufuta safari ya Tanzania

Birmingham City wameamua kufuta safari yao ya kwenda Tanzania. City, ambao wameshuka daraja katika ligi kuu ya England msimu huu walikuwa w...

BUKOBAWADAU 27 May, 2011

Ufisadi wa Gaddafi Wafichuliwa

Imefichuka eneo kulikofichwa mamilioni ya dola mali ya serikali ya Libya. Hii ni baada ya kufichuliwa kwa stakabadhi ya mamlaka ya uwekezaj...

BUKOBAWADAU 26 May, 2011 1

Mh.Shukuru Kawambwa azuru bukoba

Mh.Shukuru Kawambwa(MB)Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi.Wakati wa ziara yake ya kuzindua majengo ya Chuo kikuu Huria mkoani Kagera Bukob...

BUKOBAWADAU 25 May, 2011

Uganda wakazi waonywa juu ya kupiga honi za magari

Polisi nchini Uganda imewaonya watu waliopanga kupiga honi za magari kwa nia ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha watakamatwa kwa madai ...

BUKOBAWADAU 25 May, 2011

Dhahama kubwa pande za Abyei,Waziri Ajiuzulu.

Waziri wa upande wa kusini mwa Sudan katika serikali ya taifa amejiuzulu, akisema "uhalifu wa kivita" umefanyika katika eneo lenye...

BUKOBAWADAU 25 May, 2011

Camera yetu pande za Mleba

Hivi ndivyo inavyo onekana mitaa mbalimbali ya pande za Mleba . Pichani ni Mh.Hassan Milanga.Diwani wa kata ya Mleba Mjini,Jimbo la Mleba k...

BUKOBAWADAU 24 May, 2011