December 2011

Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY MAMA CHUI NA LONDON ,RAIS WA MTAA WA MIGEYO

Mdau Salome aka mama Chui,chui na london,chui wa mikogo,mama wa milindimo,mama baraka,rais wa mtaa wa migeyo katimiza miaka kadhaa, Mama Ch...

BUKOBAWADAU 30 Dec, 2011 2

MDAU NOELA OWONYESIGA ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA NTOMA-MARUKU NA KUTOA ZAWADI MBALIMBALI NA CHAKULA

Anaonekana mdau Noela kushoto na Mdogo wake Nicolas Ishebakaki mara tu walipo kitembelea kituo cha watoto yatima kituo hiki kipo Ntoma- Maru...

BUKOBAWADAU 30 Dec, 2011 8

IKIWA NI SIKU YA PILI MJINI HAPA SAKATA LA MAFUTA HALI NI TETE JAMANI!!!

Hii ni foleni kuelekea Nyuma Adha hii imemkuta pia mdau Kandada Jaffary kama anavyo onekana akiwa kwenye foleni

BUKOBAWADAU 28 Dec, 2011

BREAKING NEWZZZZZZZ;Sakata la mafuta mjini hapa ni kituo kimoja tu kinacho hudumia ni AMA FILLING STATION.

Hii inahusu mafuta ya Petrol Hii ni hali halisi juu yasakata la mafuta mjini hapa mda huu ni kituo kimoja tu kinacho endelea kutoa hudum...

BUKOBAWADAU 27 Dec, 2011

HAFLA YA WANABUKOBA WAISHIO NJE YABUKOBA MGENI RASMI NI MKUU WA MKOA KANALI MSTAAFU FABIAN I. MASSAWE;Mambo mengi yameongelewa pamoja na Mawasilisho ya Mpango na fursa za uwekezaji Bukoba.

Mkuu wa Mkoa Kal.Fabian I. Massawe akiwasalimia wadau mda mchache baada ya kuingia Ukumbini Meza kuu kutoka Kushoto ni Mh.Meya Aman,Mkuu wa...

BUKOBAWADAU 27 Dec, 2011