Bukobawadau

MSIBA WA KANUMBA NI SIMANZI NA MAJONZI KWA MAMA YAKE MZAZI BI FLORA NA NDG NA JAMAA WALIOPO BUKOBA;Matukio ya Air Port Bukoba

Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba katika hali ya simanzi,hii ni muda mchache akiwa Uwanja wa Ndege Mjini hapa kwa safari ya kuelekea Dar es Salaam kwenye Msiba.
Bi Flora alikuja  nyumbani  Itoju Izigo- Kaboya Wilaya Muleba kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka.
 Hali ya Simanzi na sura za majonzi kwa wanafamilia wa Marehemu Kanumba.
 Inauma sana Ndg Wadau.
 Mama Mzazi wa Kanumba tayari kwa Safari ya kutoka Mjini Bukoba kuelekea Jijini Dar es Salaam.
Mdau unaweza kuona Video juu  Interview  hapo juu na kusikiliza Audio  kati ya  Mama  Kanumba, Vision Fm Radio na Bukobawadau Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau